Sharrmusic

Bora Ni Enjoy Mp3 Download


Out now: africori.to/enjoy.oyd
Subscribe: @africanboyJUX

Tanzanian music sensations Juma Jux and @TheDiamondplatnumz release their highly anticipated song "Enjoy", which celebrates life and its pleasures. The song's message touches on the burden of constantly searching for the right partner, which often leads to pain and disappointment. As a result, the protagonist decides to take a break from relationships and focus on enjoying life because it is too short.

The song was produced by S2Kizzy.

Available to Stream / Download: africori.to/enjoy.oyd

ยฉ 2023 AFRICAN BOY REC

Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy Lyrics

Verse: Jux
Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo
Tena wahiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Unaemwita your baby
Kumbe nae ana baby
Ooh unaemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi
Aahh

Chorus:
Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Verse: Diamond Platnumz
Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho
(Yanini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo
(Jiunge na mimi ah)
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Aaahh iyeeeeiiii ye)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)

Bridge:
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo
Huku natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za za za za za

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)

Distribution by Africori: africori.com

#Jux #DiamondPlatnumz #Enjoy

Mbosso - Amepotea

Mbosso - Amepotea

4.14 MBMbosso

Get This Song On ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ mbosso.lnk.to/amepotea For Bookings: [email protected] youtube.com/channel/UCuqG1YHwV5wLltChmEvsQPw?sub_confirmation=1 Follow Mbosso On: Instagram: instagram.com/mbosso_ Twitter: twitter.com/mbossokhan/ Facebook: facebook.com/mbossoofficial/ #wasafi #mbosso #music

Bora nienjoy - jux ft Diamond

Bora nienjoy - jux ft Diamond

5.01 MBlyricalfire

Hii leo Acha tu niwaweke wazi Mubaki na mishangao Kuhusu haya mapenzi Nataka kuvaeleza Na leo Tena wahiteni paparazi Warushe kwa mitandao Siyataki mapenzi Nataka jipongeza Unaemwita your baby Kumbe nae ana baby Ooh unaemwona kipenzi Ni mshenzi hakupendi Ama kweli mtihani Mambo mengi duniani Na mi stress siwezi Ooooh siwezi Aahh Bora ni Enjoy (Mmmmmh) Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Bora ni enjoy Maisha mafupi...

NGOMA MPYA ya ENJOY KUTOKA kwa JUX na DIAMOND - MAMA DANGOTE VIXEN

NGOMA MPYA ya ENJOY KUTOKA kwa JUX na DIAMOND - MAMA DANGOTE VIXEN

3.02 MBGlobal TV Online

NGOMA MPYA ya ENJOY KUTOKA kwa JUX na DIAMOND - MAMA DANGOTE VIDEO VIXEN - "BORA NIMPENDE MAMA'NGU" CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako๐Ÿ“ฒ, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu...

Mbosso - Yalah

Mbosso - Yalah

4.44 MBMbosso

Get The Album Now ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ mbosso.lnk.to/dol What Is Love? Every person has his own Definition Of Love The answer differ due to everyone's experience But I brought to you my own Definition Of Love Which is available on my Album Kindly listen to DEFINITION OF LOVE You will either get the meaning through my language or the melody i used! Enjoy! From DEFINITION OF LOVE Album Track 5 - Yalah Video Shot & Directed By Hanscana! For Bookings:...

Zuchu Ft Innoss B - Nani Remix

Zuchu Ft Innoss B - Nani Remix

4.23 MBZuchu

Get #Nani Now ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ zuchu.lnk.to/nani youtube.com/channel/UCOn8zDM533kqzhIA8c3NFbQ?sub_confirmation=1 For Bookings: Contacts -- [email protected] Connect With Zuchu On: Instagram: instagram.com/officialzuchu/ Facebook: facebook.com/officialzuchu/ Twitter: twitter.com/officialzuchu/ #Zuchu #Music #Wasafi Copyright ยฉ2023 WCB Wasafi. All rights reserved.

Harmonize - Single Again

Harmonize - Single Again

5.74 MBHarmonize

Harmonize - Single Again (Official Lyrics Audio) Stream/Download: smartklix.com/SingleAgain Produced By: Dj Tarico Production: DK Company Ltd Director By: Director Kenny Subscribe for more official content from Harmonize: youtube.com/c/Harmonize255/ Follow Harmonize Instagram: instagram.com/harmonize_tz/ Twitter: twitter.com/harmonize_tz Facebook: web.facebook.com/Harmonize255 TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/ Listen to...

Harmonize - Mpaka Kesho

Harmonize - Mpaka Kesho

6.5 MBHarmonize

Harmonize - AfroEast Stream/Download: album.link/afroeast Subscribe for more official content from Harmonize: youtube.com/c/Harmonize255/ Follow Harmonize Instagram: instagram.com/harmonize_tz/ Twitter: twitter.com/harmonize_tz Facebook: web.facebook.com/Harmonize255 TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/ Listen to Harmonize YouTube: youtube.com/c/Harmonize255/ Audiomack: audiomack.com/harmonize Apple Music : ...

Aslay-Naenjoy

Aslay-Naenjoy

5.26 MBAslay

Follow Aslay on: instagram.com/aslayisihaka/ twitter.com/aslayisiaka facebook.com/AslayOfficial

About Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy

Out now: africori.to/enjoy.oyd
Subscribe: @africanboyJUX

Tanzanian music sensations Juma Jux and @TheDiamondplatnumz release their highly anticipated song "Enjoy", which celebrates life and its pleasures. The song's message touches on the burden of constantly searching for the right partner, which often leads to pain and disappointment. As a result, the protagonist decides to take a break from relationships and focus on enjoying life because it is too short.

The song was produced by S2Kizzy.

Available to Stream / Download: africori.to/enjoy.oyd

ยฉ 2023 AFRICAN BOY REC

Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy Lyrics

Verse: Jux
Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo
Tena wahiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Unaemwita your baby
Kumbe nae ana baby
Ooh unaemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi
Aahh

Chorus:
Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Verse: Diamond Platnumz
Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho
(Yanini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo
(Jiunge na mimi ah)
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Aaahh iyeeeeiiii ye)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)

Bridge:
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo
Huku natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za za za za za

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)

Distribution by Africori: africori.com

#Jux #DiamondPlatnumz #Enjoy